Chura na ndovu na hadithi nyingine
KES 216
Availability: In stock
Quick overview
Exciting stories told in poetic form...
Chura na Ndovu ni mkusanyiko wa hadithi tatu za kuchangamsha. Hadithi ya kwanza, Chura na Ndovu, inasimulia kisa cha ndovu ambaye aliwaua watoto wa chura. Je, aliwaua vipi? Je,
chura alifanya nini? Hadithi ya pili, Karamu Mbili, inasimulia tamaa ya fisi. Je, ni nini matokeo ya tamaa hiyo? Hadithi ya tatu, Jua na Upepo, inaeleza mabishano yaliyozuka kati ya jua na
upepo.
Je, kwa nini walikuwa na mabishano hayo? Je, matokeo ya mabishano hayo ni nini?