Dharau ya Ini
KES 464
Availability: In stock
Quick overview
Dharau ya Ini ni riwaya inayoonyesha jinsi mapambano...
Dharau ya Ini ni riwaya inayoonyesha jinsi mapambano kati ya uovu na wema yanavyotokea katika jamii.
Kwenye jira ya mapambano hayo wapo Lila na Derby, waandishi wa habari wa kike, ambao wanakumbana na mawimbi ya bahari ya maisha yao katika jamii yenye kani nyingi. Kazi ya wanahabari hawa inaingiliana na ya Mwenyekiti Munene, shujaa na jasiri mkubwa mwenye ndoto kubwa, na Waziri Kisingo Kanda. Matokeo ya mtagusano huu ni hadithi yenye mvuto, taharuki na drama ya aina yake.