Jumba la huzuni
KES 216
Availability: In stock
Quick overview
An interesting story about the problems young Katana faces as he grows up...
Katana ni mtoto wa Bwana Mkaya ambaye ni tajiri sana. Lakini maisha ya Katana ni maisha yenye huzuni sana.
Ni nini kinachomsumbua Katana na anafanya nini ili maisha yake yawe mazuri?