Kamusi ya ushairi
KES 360
Availability: In stock
Quick overview
A first Kiswahili poetry dictionary. A must have for poetry lovers and students at all levels.
Hii ni kamusi ya kwanza ya aina yake kuwahi kuchapishwa hapa Afrika Mashariki. Kamusi hii ni hazina kubwa kwa wanafunzi na wataalamu wa ushairi wa Kiswahili katika ngazi zote kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu kote kunakotumiwa Kiswahili. Kamusi ya Ushairi inamrahisishia kazi mwalimu wa mashairi ya Kiswahili. Hii ni kamusi aali na ya lazima kwa yeyote anayetaka kuufurahia na kutamwa uhondo wa mashairi ya Kiswahili.