Kaptula la Max
KES 306
Availability: In stock
Quick overview
Duniani bado kuna nchi nyingi ambazo...
Duniani bado kuna nchi nyingi ambazo zipo katika balaa la kutawaliwa na madikteta ving’ang’anizi ambao ‘makaptula’ yao yamekuwa tishio na kero kubwa kwa wananchi wanyonge.
Usomapo tamthiliya hii ya Kaptula la Marx utajiuliza, inakuwaje ‘makaptula’ hayo yanatumika kuwa jela za wasio na hatia, na wakati huo huo kuwa mablanketi mazito ya kusitiri walalao wasikotakiwa na wasikostahili.
Haya ni baadhi tu ya masuala ya kijamii ambayo tamthiliya hii ya kisasa inayagusia. Hii ni tamthiliya inayotumia ucheshi na tashtiti kwa kiwango cha juu sana.