Kasri ya Mwinyi Fuad
KES 418
Availability: In stock
Quick overview
Kasri ya Mwinyi Fuad ni mojawapo wa riwaya maarufu katika fasihi ya Kiswahili...
Kasri ya Mwinyi Fuad ni mojawapo wa riwaya maarufu katika fasihi ya Kiswahili. Hii ni riwaya inayosawiri mvutano baina ya ubwana na umwinyi kwa upande mmoja na unyonge na utwana kwa upande wa pili.
Ni riwaya inayotupa taswira za kuchokonoa akili kuhusu madhambi ya ubwana na umwinyi. Ni riwaya inayotoa picha ya vuta n’kuvute inayomkumba mwanamke katika jamii.
Riwaya hii imetafsiriwa katika lugha za Kijerumani, Kirusi na Kifaransa.