Kifaranga mdogo na mwewe
KES 128
Availability: In stock
Quick overview
A young chick rescues her siblings by using her brains...
Mwewe amezoea kuwanyakua vifaranga wa Kuku. Kuku na Jogoo hawajui watafanya nini. Lakini kuna Kifaranga Mdogo ambaye ana mpango wa kumkomesha mwewe. Je, mpango wake ni upi?