Kijana hodari
KES 232
Availability: In stock
Quick overview
A young boy makes a major milestone against all odds...
Kamau ni mwanafunzi wa darasa la sita. Anakumbwa na changamoto chungu nzima masomoni zinazowatia wasiwasi hata wazazi wake. Hata hivyo anatambua kipaji chake. Je, ni changamoto
gani zinazomkabili? Je, kipaji chake ni kipi? Soma hadithi uutamwe uhondo wake na kuyapata majibu ya maswali haya.