Kijana mpelelezi
KES 217
Availability: In stock
Quick overview
During a school holiday, a young boy manages to uncover the secret behind her aunt’s house.
Kangwana na Maria wanaalikwa na shangazi yao kumtembelea wakati wa likizo. Wanapofika huko wanakumbana na mambo mengine kuihusu nyumba ya shangazi. Kangwana, ambaye ni
mpevu wa umri, anaamua kufanya uchunguzi kuihusu nyumba hiyo ambapo... Soma kisa kujua matokeo ya uchunguzi wake.