Kijana na mbweha na hadithi nyingine
KES 153
Availability: In stock
Quick overview
A story of a young man who took his jokes a bit too far...
Kijana na Mbweha na Hadithi Nyingine ni kisa ambacho kinasimulia yaliyompata kijana aliyependa mizaha. Soma pia kisa cha kuchekesha cha kijana aliyeuasi ushauri wa mamaye wa kutokula
njugu sana. Kisa kingine cha kufurahisha ni yaliyompata mfalme aliyekuwa na maringo au kiburi.