Kisa cha Fumo Liyongo
KES 153
Availability: In stock
Quick overview
The story of the legendary Fumo Liyongo narrated in simple poetic form...
Kisa cha Fumo Liyongo ni kitabu kinachosimulia hadithi ya Fumo Liyongo, shujaa aliyeishi pwani ya Kenya. Hiki ni kisa ambacho kimesimuliwa kwa ustadi na namna ya kumchangamsha
msomaji. Soma ujue yaliyompata Liyongo na jinsi alivyoonyesha ustadi mkubwa akipambana na maadui zake.