Kuku na mwewe
KES 186
Availability: In stock
Quick overview
The story of the Hen and the Eagle and others told in poetic form...
Kuku na Mwewe ni hadithi inayosimulia matatizo yaliyowakumba wanyama na jinsi walivyojaribu kuyatatua. Je, ni matatizo gani yaliyowapata wanyama hao na walifanya nini kuyatatua? Je,
mwisho wake ulikuwa nini? Soma hadithi hii ya kufurahisha utambue.