Mamba na nyani na hadithi nyingine
KES 153
Availability: In stock
Quick overview
An old tale about the trickery of the monkey creatively narrated in poetic form...
Mamba na Nyani na Hadithi Nyingine ni kisa ambacho kina visa vya kuchangamsha kama ‘Chatu na Siafu’. Soma kisa hiki utambue ni kitu gani kilichompata chatu siku moja. Aidha
kuna kisa maarufu cha ‘Alibaba na Wezi Arubaini’ ambacho kinasimulia kisa cha Alibaba. Je, ni mambo gani aliyoyashuhudia Alibaba?