Mchezo wa kobole
KES 232
Availability: In stock
Quick overview
A mysterious ‘game’ is unravelled...
Mchezo wa Kobole ni hadithi ya kusisimua na yenye taharuki ya kipekee inayohusu mchezo unaochezwa na wanafunzi, mchezo usiofahamika na hata walimu. Je, ni mchezo gani huo? Je,
matokeo yake ni nini? Isome hadithi hii utambue mengi kuhusu mchezo wenyewe.