Msichana mlemavu na ndugu zake
KES 216
Availability: In stock
Quick overview
A young girl becomes a victim of jealousy from her siblings but in the end the bad ones are punished.
Koki ni msichana ambaye anadharauliwa na ndugu zake wawili, Ngoa na Gele, kutokana na ulemavu wake. Mambo yanabadilika siku moja baba yao anapopofuka macho. Je, ni kitendo gani anachokifanya Koki ambacho kinaonyesha kuwa ulemavu wake sio kizuizi?