Mwanakijiji na miwani na hadithi nyingine
KES 216
Availability: In stock
Quick overview
Read about a villager who wanted to learn how to read and other stories...
Mwanakijiji na Miwani ni mkusanyiko wa hadithi mbili za kufurahisha na kuchangamsha. Katika Mwanakiji na Miwani, kuna mwanakijiji anayetamani kusoma kama wengine na anaamini kuwa
siri ya kusoma ni miwani. Je, anafanya nini ili aitimize ndoto yake? Hadithi ya pili, Mkulima na Wanawe, inamhusu mkulima na wanawe wabishi. Je, atafanya nini ili kuhakikisha kuwa
wamebadilisha tabia zao?