Books Search

Mwongozo wa utengano

KES 209

Availability: In stock

Quick overview

Mwongozo wa Utengano ni mwongozo ulioandikwa kwa undani na ustadi...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Mwongozo wa Utengano ni mwongozo ulioandikwa kwa undani na ustadi mkubwa na kwa mtindo sahali unaomsaidia msomaji wa riwaya ya Utengano.

Mwandishi ametoa muhtasari wa kila sura pamoja na tathmini ya sura hiyo ambayo inaeleza masuala muhimu pamoja na mbinu zilizotumiwa. Upo uchambuzi wa kina wa maudhui na uchanganuzi aali wa wahusika pamoja na vipengele vingine muhimu vya fani. Huu ni mwongozo muhimu kwa yeyote anayetaka kuielewa riwaya hii kwa undani, kina na ufasaha.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511