Mzingile
KES 377
Availability: In stock
Quick overview
Riwaya hii inajaribu kutegua kitendawili cha “maisha”...
Riwaya hii inajaribu kutegua kitendawili cha “maisha”. Ulivyo mtindo wake, mwandishi huyu, E. Kezilahabi, anatumia mbinu ya mgogoro kuibua hisia mbalimbali kufumbua suala zima la falsafa ya maisha. Kwake, maisha “… ni kama mkufu.
Anachukua kipande hiki na kile anaviunganisha. Kipande kimoja kikikatika unakiacha unatafuta kingine, hicho kitamfaa mwingine. Siku ya kufa utavishwa shingoni mkufu wako…”