Patapotea
KES 205
Availability: In stock
Quick overview
Jamii imekumbwa na maovu mengi kama vile utoaji...
Jamii imekumbwa na maovu mengi kama vile utoaji na upokeaji wa rushwa. Jamii ina jukumu la kuelimisha vizazi juu ya madhara ya maovu na kuwahimiza kuyapiga vita ili kuikomboa jamii.
Hili ndilo suala kuu katika hadithi hii. Je, Judi na Enjo watafaulu?