Shangilia mgeni
KES 180
Availability: In stock
Quick overview
Tatu’s generous father brings a new born baby celebrations to school...
Siku moja Tatu anawasili shuleni akiwa amechelewa sana. Sababu anayotoa ni kwamba wamepata mgeni nyumbani kwao. Je, mgeni huyo ni nani? Je, kwa nini mgeni amcheleweshe?