Tikitimaji
KES 348
Availability: In stock
Quick overview
Mwandishi wa habari, Zinji, na marafiki zake, Sapna, mwanamazingira...
Mwandishi wa habari, Zinji, na marafiki zake, Sapna, mwanamazingira; Maya, msomi; na Kombo, polisi; wanasafiri kwenda Tikitimaji. Safari yao inachochewa na msukumo wa kuujua ukweli unaomhusu yeye na jamii yao nzima pamoja na kulifumbua fumbo la Tikitimaji. Tikitimaji ni hadithi inayosanwa kwa mtindo utakaomnasa msomaji kutoka mwanzo hadi mwisho wa hadithi hasa kwa taharuki yake. Usimulizi wake unachanganya mbinu anuwai za kisanaa ambazo zinachangia kuiunda riwaya yenye usanii wa aina yake. Hii ni riwaya ya kimazingira yenye mvuto mkubwa.