Vifaru Weusi
KES 350
Availability: In stock
Quick overview
Hatimaye Muhammed Seif Khatib ametoa zao jingine la Diwani ya Mashairi ya Vifaru Weusi...
Hatimaye Muhammed Seif Khatib ametoa zao jingine la Diwani ya Mashairi ya Vifaru Weusi. Diwani hii ni kazi aula yenye mashairiyanayogusia masuala mbalimbali mathalan siasa, mapenzi, utabaka na kadhalika.
Mashairi yaliyomo yameandikwa si kwa ufunzi na ujumi wa hali ya juu, bali pia kwa mafumbo na vitendawili vitakavyomchemsha bongo msomaji wa diwani hii.
Mgogoro uliopo kati ya mashairi ya kimapikeo na mashairi huru umefifizwa na masuala mbalimbali yanayozungumziwa. Bila shaka msomaji atafurahia uhondo wa mashairi ya diwani hii.