Kamusi ya picha
KES 638
Availability: In stock
Quick overview
Kamusi ya Picha ni kitabu muhimu kwa wanafunzi wanaojifunza lugha ya Kiswahili
Kamusi ya Picha ni kitabu muhimu kwa wanafunzi wanaojifunza lugha ya Kiswahili kwa sababu ya upekee wake. Kamusi hii imejumuisha picha safi na vielelezo vingi na vya kupendeza. Picha halisi zimetumiwa katika baadhi ya sehemu ili msomaji aweze kusawiri vizuri picha ya kitu halisi. Aidha imepangiliwa kwa namna ambayo itawafaa wanafunzi wachanga.
Kamusi hii, bila shaka, ni nyenzo muhimu kwa wanafunzi wa shule za msingi na za sekondari pia.