Books Search

Dunia uwanja wa fujo

KES 459

Availability: In stock

Quick overview

Dunia Uwanja wa Fujo ni riwaya inayosimulia kisa cha Tumaini...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Dunia Uwanja wa Fujo ni riwaya inayosimulia kisa cha Tumaini, kijana anayekulia katika mazingira ya utajiri na katika kijiji kilichoghoshi umaskini, ushirikina na vituko, kabla ya kuhamia mjini na kukumbana na ulimwengu tofauti na aliouzoea.

Ni riwaya inayoonyesha jinsi maisha ya Tumaini yanavyoingiliana na wahusika wengine katika jamii yake inayokumbwa na mabadiliko ya kijamii na kisiasa. Hii ni riwaya inayoonyesha jinsi msako wa furaha maishani unavyoweza kukumbwa na kila aina ya vikwazo na namna suala la malezi lilivyo changamano katika jamii ya leo.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511