Books Search

Harufu ya mapera

KES 870

Availability: In stock

Quick overview

Pipo Kenya na Jude Kinya

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Pipo Kenya na Jude Kinya, wanasiasa wawili wenye historia tofauti lakini inayoingiliana, wanajiandaa kutimiza ndoto zao za kuiongoza nchi ya Kenya. Safari yao hiyo imevotana na uhasama, kisasi, siri na drama za kifamilia. Kwa upande mwingine, kuna raia ambao wana matumaini kwa viongozi wao. Je, hatima yake ni nini?

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511