Books Search

Kichwamaji

KES 472

Availability: In stock

Quick overview

Kichwamaji ni riwaya inayosimulia maisha ya wahusika wahusika wawili...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Kichwamaji ni riwaya inayosimulia maisha ya wahusika wahusika wawili, Kazimoto na Manase, vijana waliopata elimu ya kimagharibi, na wanaofanya uteuzi wao katika jamii ambayo inashindwa kuwaelewa.

Hii ni riwaya inayoonyesha athari za ukengeushi katika maisha ya watu na jinsi ukengeushi huo unavyoweza kuwa chanzo cha mgogoro mkubwa kati ya kizazi cha vijana na kile cha wazee. Hii ni riwaya iliyojaa ucheshi na msisimko mkubwa wa kisimulizi.

“Kichwamaji ni riwaya inayoonyesha upevu wa kisanaa …inayoonyesha jinsi elimu ya kimagharibi inavyoweza kuwakengeusha vijana.” Outline of Swahili Literatures.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511