Books Search

Kosa la bwana Msa

KES 406

Availability: In stock

Quick overview

The last novel authored by the master storyteller from Zanzibar...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

“... Bwana Msa alisita, akawasha kiko chake, na watu wote pale walianza kufahamu wapi Bwana Msa anapigizia...
‘Kwa nini binadamu anakosa?’ Bwana Msa aliuliza... kajibu yeye mwenyewe, ‘Binadamu anakosa kwa sababu ana akili... Tunalisawirisha jambo kwa namna inavyotuelekeza akili yetu.

Mimi nitalielekeza hivi; wewe utalielekeza vingine - jambo lile lile moja. Tunapotea. Maadamu zitazuka tafsiri nyingi kwa jambo moja tu. Na kupotea kuna maana ya kukosea...”

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511