Books Search

Lina ubani

KES 357

Availability: In stock

Quick overview

ni tamthiliya ya kisasa ambayo...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Lina Ubani ni tamthiliya ya kisasa ambayo inaangazia matatizo ya kiuchumi na kijamii yanayojitokeza katika nchi zinazoendelea kustawi. Vurugu, migogoro na mikanganyiko inayosawiriwa katika tamthiliya hii, inadhihirisha wazi kwamba jamii hii ina uvundo, lakini kama linavyoonyesha jina la kitabu, uvundo huu ‘una ubani’; kinyume kabisa na ‘la kuvunda’ la Waswahili ‘lisilo na ubani’.

Tamthiliya hii imejengwa katika misingi ya kisasa na ya kijadi huku ikitumia mtindo wa masimulizi, nyimbo na maombolezo.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511