Books Search

Maadui wa Maria

KES 217

Availability: In stock

Quick overview

An exciting story about Maria and her nice project...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Maria na Juma wanapotumwa kwa nyanya yao jioni moja, nyanya anampatia Maria kuku na mayai yake. Maria anaamua kumfuga kuku huyo. Anapoangua vifaranga, mambo yanaanza
kwenda kombo. Ni maadui gani hawa wanaojitokeza kuhakikisha kwamba Maria hafui dafu?

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511