Books Search

Msichana wa mbalamwezi

KES 371

Availability: In stock

Quick overview

Msichana wa Mbalamwezi ni hadithi ya kusisimua inayoyasimulia masaibu...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Msichana wa Mbalamwezi ni hadithi ya kusisimua inayoyasimulia masaibu ya Yosi Kanga ambaye mambo yake yamemnyookea pakubwa hadi siku moja baada ya chakula cha mchana.

Hadithi hii inamnasa msomaji kutokana na taharuki kubwa inayomteka sio tu msimulizi mwenyewe bali pia msomaji wa hadithi hii. Msomaji anajipata akijiuliza ni nini hasa kilichomsibu Yosi, msimulizi wa hadithi? Je, msichana wa mbalamwezi ni nani? Hii ni hadithi ambayo bila shaka msomaji atafurahia kuisoma.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511