Books Search

Msimu wa vipepeo

KES 708

Availability: In stock

Quick overview

Winner, Jomo Kenyatta Prize for Literature, 2007...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Msimu wa Vipepeo ni riwaya inayosimulia hadithi ya wahusika ambao wamefanya maamuzi yanayoathiri mkondo wa maisha yao kwa njia tofauti. Kwanza kuna Waziri Mkurutu anayefurahi kuipanda ngazi ya maisha mapya katika awamu ya siasa ya utandawazi na mfumo wa soko huria.

Yupo Fabio Mkalla, Mwanasheria Mkuu, ambaye anaandamwa na asichokijua. Kwa upande mwingine kuna Julia, Kanda na Ndumi wanaojikuta katika njia panda ya msako wa ‘kipepeo.’

Wapo Melissa na Miranda, wanawake wanaojikuta katika jamii yenye mfumo unaokandamiza lakini wasiotaka kutiwa pingu na utamaduni au historia. Winner, Jomo Kenyatta Prize for Literature, 2007.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511