Books Search

Mwalimu wa Insha 1-3

KES 313

Availability: In stock

Quick overview

Kitabu hiki ndicho cha kwanza kinachowaelekeza walimu...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Kitabu hiki ndicho cha kwanza kinachowaelekeza walimu na wanafunzi wa madarasa ya 1 hadi 3 katika stadi za uandishi wa insha. Kimezingatia misingi ya uandishi wa insha kama vile hati (mwandiko),
uundaji wa sentensi, kisha aya. Picha au michoro mingi imetumika kumsaidia mwanafunzi kuelewa visa vyenyewe na pia kukuza ubunifu anapoandika insha.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511