Books Search

Mwalimu wa Insha 4-8

KES 534

Availability: In stock

Quick overview

Mwalimu wa Insha (Darasa 6-8) ni kitabu ambacho kimelenga...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Mwalimu wa Insha (Darasa 6-8) ni kitabu ambacho kimelenga kumsaidia mwanafunzi anayejiandaa kwa ajili ya mtihani wa shule za msingi. Kitabu hiki kimeshughulikia masuala ya msingi katika fani ya uandishi kuanzia hatua ya kwanza kabisa ya hati, hadi kwenye kubainisha matatizo wanayokabiliana nayo wanafunzi katika uandishi wa insha za mitihani.

Waandishi wanaamini kuwa mwanafunzi hawezi kuandika insha nzuri bila ya kwanza kuyaelewa mambo ya kimsingi. Ili kufanikisha lengo hili, wamejaribu kumkuza mwanafunzi na kumwelekeza kwa njia nyepesi, hatua kwa hatua, katika ngazi zote za uandishi wa insha. Waandishi wamefanya hivi kwa kuepuka mbwembwe za uandishi ambazo zinaweza kuzikwamiza juhudi za mwanafunzi za kujifundisha fani hii muhimu.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511