Books Search

Mwongozo wa mstahiki meya

KES 232

Availability: In stock

Quick overview

Hiki ndicho kitabu cha pekee kinachowasilisha...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Hiki ndicho kitabu cha pekee kinachowasilisha uchambuzi wa mada zote tano zinazotahiniwa katika karatasi ya tatu ya mtihani wa KCSE Kiswahili-Fasihi, ambazo ni: Riwaya, Tamthilia, Hadithi Fupi, Ushairi na Fasihi Simulizi. Kumechambuliwa ndani yake riwaya ya Kidagaa Kimemwozea, tamthilia ya Mstahiki Meya, diwani ya hadithi fupi ya Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine, Ushairi na Fasihi Simulizi. Maswali ya udurusu na marudio pia yapo.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511