Books Search

Mwongozo wa mwisho wa kosa

KES 186

Availability: In stock

Quick overview

Mwongozo huu unamwelekeza mwanafunzi na msomaji kwenye misingi...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Mwongozo huu unamwelekeza mwanafunzi na msomaji kwenye misingi muhimu katika uchambuzi wa riwaya. Mwandishi ametoa muhtasari wa kila sura, tathmini ya sura hiyo na maswali ya kumsaidia msomaji kuyakumbuka matukio na sifa muhimu. Upo uchambuzi wa kina wa dhamira na maudhui pamoja na uchanganuzi usio na mfano wa fani ya riwaya hii.

Huu ni mwongozo muhimu kwa yeyote anayetaka kuielewa riwaya ya Mwisho wa Kosa kwa undani na ufasaha.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511