Books Search

Mwongozo wa pango

KES 232

Availability: In stock

Quick overview

Kitabu hiki kinachambua tamthilia ya Pango...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Kitabu hiki kinachambua tamthilia ya Pango. Mwongozo huu unatoa muhtasari wa maonyesho na mtiririko wa hadithi. Kinaangazia kwa kina maudhui pamoja na mbinu za lugha na za uandishi zilizotumika katika tamthilia ili kubainisha vipengele kama mandhari, muundo na mtindo bila kuacha nje wahusika na uhusika wao.

Maswali ya marudio yapo ili kumsaidia msomaji kuielewa tamthilia yenyewe.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511