Books Search

Pesa

KES 306

Availability: In stock

Quick overview

Pesa ni tamthiliya ya kusisimua

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Pesa ni tamthiliya ya kusisimua inayoangazia uozo katika asasi anuwai za kijamii. Inaangazia mbinu mbalimbali wanazotumia watu katika harakati za kutafuta pesa. Tamthiliya hii imesheheni ucheshi na tashtiti kukejeli mienendo ya viongozi wa asasi mbalimbali na inazungumzia ukweli wa mambo kama yanavyoonekana katika ulimwengu halisi.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511