Books Search

Wali wa ndevu

KES 476

Availability: In stock

Quick overview

Wali wa Ndevu na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko aula katika fasihi ya Kiswahili...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Wali wa Ndevu na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko aula katika fasihi ya Kiswahili. Sifa iliyo wazi katika mkusanyiko huu ni upekee wake wa kuwa na hadithi zilizofikia upeo wa juu sana. Hadithi
fupi hizi ni vielelezo katika fasihi ya Kiswahili.

Aidha, mwingiliano kati ya hadithi zenyewe, unaunda kiunzi ambacho, kama ilivyo fasihi kioo cha jamii, kinaakisi masuala mbalimbali yanayomhusu binadamu na mazingira yake.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511