Books Search

Seserumbe

KES 452

Availability: In stock

Quick overview

Seserumbe ni tamthiliya ya kipekee inayosimulia kisa cha waziri...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Seserumbe ni tamthiliya ya kipekee inayosimulia kisa cha waziri, Seserumbe, anayeng’olewa mamlakani na wapiga kura. Tamthiliya hii inaonyesha uhalisia unaowapitikia viongozi wasiowajibika wanapokuwa uongozini, upujufu wa kimaadili na athari za ukosefu wa uzalendo.

Seserumbe ni kurunzi ya suala zima la uongozi na uwajibikaji. Seserumbe ni tamthiliya yenye upeo wa juu wa kisanaa. Aidha, itamwacha msomaji na
taathira ya ucheshi kwa jinsi mwandishi alivyoitomea hadithi kwa ucheshi wa hali ya juu.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511