Books Search

Shingo ya mbunge na hadithi nyingine

KES 561

Availability: In stock

Quick overview

Exciting short stories from some of the best authors in East Africa...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Shingo ya Mbunge na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko bulbul wa hadithi zilizoandikwa na watunzi wanaoonyesha ustadi wa kuumudu utanzu wenyewe pamoja na ukwasi wa lugha ya Kiswahili. Ni mkusanyiko unaotanda mwanda mpana wa kimaudhui kuanzia ukoloni na taathira zake katika jamii hadi siasa ya mfumo wa soko huria.

Huu ni mkusanyiko unaoleta pamoja watunzi wa hadithi fupi kutoka Afrika Mashariki, wanaoinukia katika fani na watunzi waliotopea na kubobea katika uga wa utanzu huu.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511