Books Search

Soma Kiswahili

KES 258

Availability: In stock

Quick overview

Hiki ni kitabu cha mazoezi kinachoangazia kuunda maneno kutokana...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Hiki ni kitabu cha mazoezi kinachoangazia kuunda maneno kutokana na sauti zote za msingi katika lugha ya Kiswahili, kusoma maneno ya Kiswahili kwa kuzingatia alfabeti ya Kiswahili.

Picha, michoro na mazoezi mengi yametumiwa ili kukuza kumbukumbu ya mwanafunzi na kumpa mazoezi ya kutosha.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511