Books Search

Tumaini

KES 508

Availability: In stock

Quick overview

A captivating story on the girl-child narrated in flowing Kiswahili...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Tumaini, ni msichana anayejasurisha kukiuka kaida zilizowekwa na jamii yake iliyoghoshi imani na itikadi inayomtwaza mwanamume huku ikimtweza mwanamke. Tendo lake linahitaji ujasiri kwa kuwa anaelekea kuidadisi misingi ya jamii yake. Ni nini hatima yake?

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511