Books Search

Yatima

KES 452

Availability: In stock

Quick overview

Hii ni riwaya inayoyachunguza maisha ya Katiwa...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Hii ni riwaya inayoyachunguza maisha ya Katiwa, msichana yatima, anayekumbana na matatizo chungu mbovu anapohamia jijini Bambo kuishi na shangazi yake. Maisha ya Katiwa ni kielelezo cha dhiki zinazowakumba wasichana katika jamii iliyoongozwa na ubinafsi, tamaa na unafiki. Je, ni nini hatima ya Katiwa na wanaomtesa? Hii ni riwaya yenye taharuki na iliyosimuliwa kwa mtindo utakaomvutia msomaji.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511