Shopping Cart
0 Items - KES 0.00
Your Cart is currently empty!
Your Product Price

Books Search

Chemichemi ya marundio

KES 849

Availability: In stock

Quick overview

A systematic revision book that makes KCSE Kiswahili revision easy and exciting...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Chemchemi ya Marudio (KCSE Kiswahili) ni kitabu kilichoandikwa kwa ufundi mkubwa ili kumwandaa mwanafunzi anayejiandalia mtihani wa somo la Kiswahili. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo wa kipekee ambao utamwezesha mwanafunzi kuzipitia stadi zifuatazo kwa njia sahali na kwa kina cha kipekee:

• Stadi za ufahamu na ufupisho pamoja na mbinu za kuyajibu maswali kwa njia ifaayo.
• Stadi za sarufi na lugha kwa jumla kuanzia sauti, kiimbo, shadda, neno, nomino, vitenzi, vielezi, vivumishi,
viunganishi na vihisishi.
• Isimu jamii na sajili tofauti tofauti kama sajili ya sheria, sajili ya dini na sajili ya biashara na kupambanua
jahara sifa za kila mojawapo.
• Stadi za utungaji kama uandishi wa insha, utungaji wa kiuamilifu na mwongozo ufaao.
• Stadi za uakifishaji.
• Stadi za fasihi andishi: vipengele vya uchambuzi wa riwaya, tamthiliya, hadithi fupi na mashairi pamoja na
vielekezi vya kuchangamsha.
• Stadi za fasihi simulizi na uchanganuzi wa vipera vyake.
Yapo mazoezi ya kutosha kuweza kumnoa mwanafunzi kwa njia inayompunguzia bughudha ya kubukua matopa
ya mabuku yenye maelezo yale yale yaliyomo kwenye vitabu vya darasani.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511