Books Search

Waridi la Tovuti

Availability: In stock

Quick overview

Waridi la Tovuti na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi...

COM_VIRTUEMART_CART_QUANTITY_ME:

Waridi la Tovuti na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi ambao unajumlisha hadithi zilizotungwa na waandishi kutoka maeneo mbalimbali ya Afrika Mashariki. Mkusanyiko huu unawaleta pamoja waandishi wachanga na wale ambao wamekomaa katika fani ya utunzi.

Kwa msingi huu, mkusanyiko huu unaishia kuwa mlo wa mseto ambao msomaji atatamwa kuulimbuka na kuufurahia.
Mada zinazoshughulikiwa zinatanda kwingi yakiwepo masuala ya teknolojia, uhusiano, malezi, uongozi na uwajibikaji.

Sifa mojawapo itakayomvutia msomaji ni fani na mitindo ya uandishi wa hadithi hizi.

Contact us

  • icon
    Address : Vision Plaza 3rd Floor, Mombasa road, Nairobi-Kenya.
  • icon
    Telephone : +254 20 2619565
    Mobile : +254 720 059511